Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto.
pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...