Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho.
Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki.
Mamlaka...
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible:
Credit definition Geogle
Walicho...
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.
Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.
Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho.
Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upunde waonekane kana kwamba hawana hatia...
Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja...
MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama.
Sophie anatarajia kutembelea kituo...
Ukizingatia hali yako ya sasa kama ungekuwa na uwezo je ungependa siku zirudi nyuma au ungetaka zisogee mbele chapu au zibaki hapohapo zilipo.
Mimi kwakweli zirudi nyuma tu kwakweli tena zirudi kwa chapu sana nirudi utotoni kabisa kule aisee mambo yameshabana sana saivi aisee.
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya.
Kawaida kila taasisi...
Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii.
Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti vyombo vya dola hasa polisi, leo kila kona mumewabana.
Kwahyo ombi langu msilegeze kazeni hapo hapo...
Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma.
Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao...
Wakuu,
Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho.
Kazi kwelikweli!
===
Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo
China NBS data
Annual GDP
China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8]
(current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9]
year
GDP
GDP per capita
based on mid-yr pop.[10]
Reference index...
Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru nimejaribu kuwa winda na manati nimefeli nimeweka sumu kwenye mayai niliyoyatoboa lakini bado wanadunda...
Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali...
Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: "Chakula kiko tayari?"
Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na kutunga sheria mbalimbali... Swali Je hizo sheria zinazokwenda kutungwa huku Mpina akiwa amefukuzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.