Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu...
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.
Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe.
Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea.
UJUZI.
Kwanza nchi zote Duniani zimejengwa na watu imara yaani strong men. Hakuna hata nchi moja iliyojengwa na watu dhaifu. Makonda wewe ni mtu imara, kila nikikuangalia na kukusikiliza moyo wangu unaniambia kabisa kwamba wewe ni mtu sahihi kwasasa kuipeleka kasi nchi yetu na kwa wakati huu ambao nchi...
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji.
Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya.
Tatizo ni uwoga hapa JF...
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni...
Nyuma mwiko kwetu. Lazima alie mtu hapa. Kipigo cha Mbwa Mwizi anakipata hapa. Yaani akijitahidi sana kuzuia 3. Mbali na hapo ni mwendo wetu ule ule wa kutandika makofi tu. 5 kwa nunge.
Si wametaka kiti? Tunawapa hadi kitanda wakalale. Na hawa Mbwa wanajiita Simba. Wakijitahidi sana Draw. Ila...
Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990,
Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea.
Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50...
Muasisi wa nchi yetu mwalimu Nyerere aliwahi kugusia jambo kwenye moja ya hotuba zake wakati akielezea ni jambo gani kubwa inaweza kupelekea nchi kupata maendeleo, alisisitiza sana swala la demokrasia; lakini kwa bahati mbaya hata ndani tu ya chama cha CCM sasa miaka hii hakuna hiyo demokrasia...
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa...
Hello wakuu, hope mko poa.
Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida.
Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
Habari wa kuu zangu?
Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo
1.Hawajiamini..
Wafikapo madarakani huelekeza sana nguvu kwenye ukaribu na vyombo vya Dola kuliko Wananchi wao walio wachagua kuwa tumikia sjui...
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
1: Nyota
Huu ni ushirikina. Kuamini mambo ya nyota ni kuamini mambo ya kishirikina. Stori za mtu kuchukua nyota ya mwenzake au kufunga nyota ni mbinu za kutia ujinga raia ili wawe wavivu.
Unakuta mtu amekaa kizembe ukiuliza unaambiwa eti alikiwa na nyota sana huyo imechukuliwa. Hizo story...
Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.
Inakuwaje kila Prof Janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.
Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa...
ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa.
kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa.
ukiingia chaneli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.