Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.
Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa...