Wakati dunia ikiienda kasi kwenye technology hasa mifumo ya kifedha, inayorahisisha malipo, hali imekuwa tofauti kwenye baadhi ya taasisi za fedha nchini.
CRDB hasa kwenye mfumo wao Internet banking, umekuwa na shida za mara kwa mara unaolalamikiwa na wateja lakini hakuna linalofanyika...