nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  2. Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

    “Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga. Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko. Huko katika mtandao wa X zamani twitter...
  3. Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  4. Kwanini miji yenye Waswahili wengi mfano Bagamoyo huwa iko nyuma kimaendeleo?

    Nimebahatika kufika Bagamoyo safi na salama kabisa, shukran za dhati ziende kwa Mungu Mkuu. Mji wa Bagamoyo ni mji mzuri sana kimandhari, ukitizama mji wenyewe huko kando kando ya bahari ya Hindi. Nimefika Bagamoyo kwanza ni mji umepoa sana, sio mji wenye harakati kwa sisi wachakarikaji, nahisi...
  5. Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  6. Je, mliomaliza shule pamoja miaka ya nyuma bado mnaendelea kuwasiliana?

    Kama jibu ni ndio funguka hapa huwa mnasaidiana kwa vipi au kwenye mambo gani? Pia kama mmeishia kusababishiana presha na vichomi tu, funguka ilikuwaje? Funguka upone
  7. Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)

    Nenda google play kisha tafuta "Matokeo ya darasa la 7" Na furahia teknologia hii
  8. Mangungu piga kazi baba, wanachama tuko nyuma yako

    Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu! Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wetu bwana Murtaza Mangungu kwa kuendelea kuwa Imara katika kipindi hiki ambacho...
  9. Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  10. Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  11. B

    Aina ya uongozi tulio nao; anayechelewesha msafara ng'ombe wa mbele, anatandikwa wa nyuma

    Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
  12. D

    Watanzania tupo nyuma ya wakati

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama. Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule. Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same. Maduka mengi yamevunjwa na kuwekwa kisasa...
  13. Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  14. Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

    Kwema Wakuu! Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike. Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo unategemea wanaume wafanye nini? Ukipigwa wewe na mkeo na watoto unaanza kulialia. Wanawake ndio...
  15. Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  16. K

    Makonda anaonyesha tabia zetu za ushabiki wa kitoto zinaturudisha nyuma

    Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana. Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni...
  17. Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  18. Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  19. Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  20. W

    Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…