nyumba dodoma

Nyumba ya Mungu Dam is a hydroelectric dam in Tanzania. It is in Mwanga District, Kilimanjaro Region. The water runs down the slopes of Kilimanjaro in the deep valleys. These streams pour their water into the Nyumba ya Mungu Reservoir. Nyumba ya Mungu means 'House of God'. Its installed capacity is 8 megawatts (11,000 hp).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chukua Tahadhari, Dodoma Kodi Za Fremu Ni Kubwa Mno

    Habari ,, Huu mji wa Dodoma umekuwa na kodi kubwa sana za fremu zisizo endena na uhalisia wa kibiashara , mfano mwaka Huu 2026 nyumba zilizo rekebishwa maeneo ya mjini katikati Kodi ni 4m,3m,2.5m ,2m na 1.5m kwa mwezi . Walio kuwepo hakuna hata mmoja aliye weza kurudi wamekuja wapya Hizo Kodi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Milioni 25 inatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa Dodoma na wilaya zake?

    Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu? NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
  3. JamiiForums Tanzania Ikiwa Mbowe alimpa Lissu nyumba Dodoma, kwanini kamera hazikuwahi patikana baada ya shambulio la Lissu?

    Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!. Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
  4. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Sababu Ya Kuwekeza Kwenye Majengo Ya Kupangisha Ili Ustaafu Mapema

    Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha ukiwa unaendelea na ajira yako?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…