Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.
Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6
Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika...
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
Wakuu salama?
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na watu wanalalamika masharti ni mengi sana kwenye nyumba waliyotaka kuhamia na hivyo ikawapalekea kutokulipa kodi kutokana na mashrti kuwa mengi.
Masharti gani wewe ulikutana nayo ukaghairi kupanga nyumba hiyo?
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema.
Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence.
Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho)
Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea).
Ukonga - Magereza, Madafu, KM...
Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
Based on my view point
UTANGULIZI
Huyu mdada niliwahi mjua before kwenye mkoa x ndani ya mwaka huu, tuliwasiliana kiasi huku nikiwa nagusa mada kwa juu juu za kuomba mahusiano. Mwaka huu bahati nzuri amekuja kupata kazi katika Wilaya ambayo nafanya kazi, hapo hapo nikampata kiurahisi kabisa ...
Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa.
Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia.
Kodi ni 100,000 kwa mwezi
Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge
Hakuna hela ya udalali.
Dar waweza acha Kodi uliyolipia na kuhama baada ya kugundua kuwa eneo Hilo ulilopanga kipindi Cha mvua halikaliki vyura wanaingia Hadi ndani na maji na kuanza kuimba nyimbo zao za kwaya zao usiku huko ndani baada ya kuingia maji ndani au madimbwi kuzunguka nyumba usiku hutalala Kwa nyimbo za...
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.
Haji Manara alijibu,
"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
Habari wakuu,
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;
1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium
Nipo tayari kwa bei yoyote.
Msaada jamani,
Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka.
Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.
~ Bajeti laki 5 (500,000).
~ Iwe maeneo tulivu
Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.
Najua...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, inahitajika nyumba kubwa ya kupanga ya familia yenye parking kuwe na usalama, kodi isizidi 300K kwa mwezi.
Nina mdogo wangu amemaliza masomo kaomba asirudi nyumbani aende Dar ili apambane, sio mbaya sababu ni mchakarikaji tukaona haina haja ya kumlazimisha kuja mkoa.
Nikamuambia kama ni hivyo basi atoke kwa ndugu, ana vitu vyake akapange, nitamsapoti kodi kwa mwanzoni,
Juzi tukapatana atafute...
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.