1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road)
2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara
3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo).
Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao.
Utakuta mtu ana kipato kizuri...
Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka.
Sifa:
1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana)
2. Hali nzuri
3. Usalama/fence
4. Inafikika bila changamoto
5. Parking ya gari 2 na kuendelea
Mawasiliano piga 0769746211
Isiwe na dalali
Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira.
Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo:
1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained.
2. Kuwe na sebule
3. Public toilet ndani
4...
Nilipo maliza chuo mwaka 2011 sikutaka kabisa kukaa home. Infact nimeanza kukaa gheto toka nipo form five way back in 2005.
So nilipo maliza chuo fasta Nika Enda kupanga chumba mitaa fulani jijini Darusalama Mbali Na kitaa nilicho zaliwa Na kukulia..
Sikutaka kuishi karibu Na mitaa ya nyumbani...
Habari za saa hizi Ndg zangu! Polen na majukumu,
Samahani Sana Tena naombeni ushauri tu kwa anayeweza kunishauri.
Nlipanga nyumba mwaka Jana mwezi wa 11 nikalipa kod ya miez 2 Mana niliomba nilipe hivyo ilipofika January mambo yakawa mabaya Maana nategemea utalii Corona imekuwa janga sijpata...
Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali wanachelewesha biashara nyumba kodi laki na nusu anakwambia laki mbili na hamsini
Habarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza.
Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa.
Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.