Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress
Kujua makadirio Ujenzi inakusudia
kujua unahitaji nguvu kiasi gani
kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa...
unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza z, unaweza kumpata jirani anafuga, inawezekana ikawa kuku, ng’ombe, bata nk.
Mifugo inatoa harufu inayoambatana na inzi, harufu inaweza kukukatisha hamu ya kula na unashindwa kupunga upepo nje ya nyumba yako kwa kero ya inzi pamoja na harufu.
Unapolalamika...
Image source: Pinterest
Nyumba si gereza. Kutokana na mfumo wa ujenzi wa sasa ambapo tunaweka chuma kila dirisha na baadae tunavisha madirisha ya vioo (Aliminium) ni mihumu kuweka dirisha la dharura ambalo halitakuwa na chuma au likiwa na chuma ziwe ni slide pia.
Naandika andiko hili baada ya...
Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.
Gharama zetu ni nafuu sana...
Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
Kumekuwa na mijadala mingi juu ya nyumba zilizoezekwa kwa mtindo wa kuficha paa la nyumba, ilionekana nyingi zinavuja sana. Mimi mwenyewe nikiwa mhanga wa jambo hilo.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana kwenye gata utadhani hapajaezekwa. Nikawa najiuliza inakuwaje gata linavuja hivyo?
Nikamuita fundi...
JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa ujenzi unaweza kuathiri sana ubora na gharama ya nyumba yako?
Kama unataka kujenga nyumba yako, ni...
Nafanya wiring kwa gharama za bei nafuu sawa na Bure (150,000)kwa ramani ya nyumba hii kwa ubora na usalama wa nyumba yako pia nakupitishia form ya maombi tanesco bila wewe kwenda ofisini kwaoWaweza nitumia ramani ya nyumba nikakufanyia tasmini ya gharama za wiring
Napatikana dar es salaam...
Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua...
Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo
.... Dirisha 30000
...nguzo 40000
... skirting 100000
..arch ya baraza 10000
... Arch ya ndani 70000
0719999526/0747618315 WhatsApp
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.