Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664.
Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
Anza kwa kutazama clip hii⬇️ Then, mengine tutazidi kujuzana.... Ila kama upo interested sana basi waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 au ukapitia page yangu ya Instagram kujionea kwa kubonyeza link hii https://instagram.com/flameinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Hapo kama uonavyo ni mapazia...
Wakuu Karibuni,
Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa.
"Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe...
Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa.
Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo.
Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
Salama wadau,
Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road
Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
Uzuri wa nyumba sio uimara wa msingi au boma.
Uzuri wa nyumba ni pamoja na urembo wake kuanzia nje na mpaka ndani. Pia uzuri wa nyumba ni pampja na muonekano wake, muonekano wake hutegemea urembo wake.
Urembo huo hufanyika kwenye Nguzo, Kuta na ceiling.
Urembo unaweza fanyika nje ya nyumba na...
Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro.
Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
Habari ndugu,
Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu.
Nilikuwa nasikia tu watu wakisema mjini kuna baba mwenye nyumba, sasa nimejionea mwenyewe jamani nawaambieni furaha na amani yake usipime.
Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.