nyumba za ibada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rabonn

    Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  2. Linguistic

    NEMC kuchukua hatua kali dhidi ya nyumba za ibada na sehemu za starehe zinazopiga kelele kwenye makazi ya watu

    Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU. Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa mziki huo, na hii sio mara ya kwanza kwa wao kutoa tamko kama hili Pia soma: NEMC kufanya msako wa wanaopiga...
  3. blogger

    Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
  4. F

    Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Habari wadau wa JF. Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula. Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
  6. Southern Giant

    Kwanini sadaka katika nyumba za ibada hazitolewi mchanganuo wa matumizi?

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata muongozo katika hili. Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo. Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?
  7. Miss Zomboko

    Kilimanjaro: Mkuu wa Mkoa aagiza huduma ya Chanjo kupelekwa kwenye Nyumba za ibada

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kagaigai amewaagiza wataalamu wa afya mkoani humo, kupeleka huduma ya chanjo ya Uviko 19 kwenye maeneo yote ya ibada, ili kuwezesha wananchi wote kufikiwa na huduma hiyo. Mbali na hilo amewataka watumishi wote wa Umma kuonyesha mfano kwa jamii kwa kujitokeza...
  8. J

    IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  9. B

    Tuliwazuia kufanya Kongamano, wameamua kuelekea kwenye nyumba za ibada ambayo ni haki ya kikatiba pia

    Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada wavae t-shirt zao za kutaka katiba mpya. Naamu waumini wameamua kufanya t-shirt za katiba mpya kuwa...
  10. Tango73

    Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
  11. chivala

    Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

    Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia. Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways. Basi hapo ndio...
Back
Top Bottom