nyumba za kupangisha

  1. Nyumba nzuri, kodi nafuu lakini nyumba ilikuwa ina jinamizi

    Habari wana JamiiForums! Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi hawataamini, wengine watafikiria ni hadithi za kutunga, lakini nawaambia kwa uhakika—nilipitia jinamizi la...
  2. Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni. Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
  3. Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  4. Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  5. Ushauri; Uwiano Wa 30:10:3:1 Ni Kanuni Inayotumika Kununua Nyumba Za Kupangisha Zenye Faida Mikoani

    Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa. Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
  6. Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
  7. Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  8. Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  9. Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  10. Idea za nyumba za kupangisha wana chuo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…