Ni kweli, lipia nipate hela ya kuweka chakula ndani nikaandamaneMhmm ni kwli au naota?
Yaani kuandamana mpaka hizo nyumba ziuzwe? Basi utangoja sana😂Ni kweli, lipia nipate hela ya kuweka chakula ndani nikaandamane
Wife kagoma nisitoke bila kuacha kitu, anajua naweza nisirudi
Chakula ndani ale nani, nchi nzima tutakuwa barabarani.Ni kweli, lipia nipate hela ya kuweka chakula ndani nikaandamane
Vijana tutakuwepo, bibi, babu na watoto watabaki nyumbaniChakula ndani ale nani, nchi nzima tutakuwa barabarani.
Kodi ya juu kabisa inaisha mwezi wa ngapiEneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo kiluvya makurunge, pwani karibu na kwa masister au kwa sumaye,
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidiView attachment 3484405
Du...ungepiga rangi na kufanya landscaping kidogo, upate bei nzuri.Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo kiluvya makurunge, Pwani karibu na kwa Masister au kwa Sumaye.
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi.
View attachment 3484405
Ni sahihi, tatizo nipo fedhaDu...ungepiga rangi na kufanya landscaping kidogo, upate bei nzuri.
Halafu weka floor plan.
Asiyeshiriki tukifanikiwa hausiki na mafanikio.Vijana tutakuwepo, bibi, babu na watoto watabaki nyumbani
Kila unit ina vyumba vingapi?Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo kiluvya makurunge, Pwani karibu na kwa Masister au kwa Sumaye.
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi.
View attachment 3484405