nyumba

  1. Ijue Nyumba Ntobhu - nyumba bila mwanaume kwa jamii ya wanawake wa kijaluo.

    Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati ya wanawake wakubwa kiumri na wanaojiweza kiuchumi, ambao kwa kawaida wanawake hao huwa ni wajane au...
  2. Ramani ya nyumba ndogo

    Unaweza kuongeza vyumba vya kulala vikawa viwili na kufanya mpangilio wa ladha yako. Choo unaweza kukiweka sehemu ya pantry na sehemu ya choo kuwa chumba cha pili.
  3. M

    Nyumba inauzwa milion 37 ipo kwa jeshi

    Anayetaka anicheki inbox
  4. Q

    Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  5. T

    SI KWELI Hizi ni nyumba za jeshi la polisi

    Hii picha inayosambaa mitandaoni ikionesha nyumba za bati na kuelezwa ni za jeshi la polisi, imekaaje wadau?
  6. M

    Plot4Sale Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta

    Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo; 1. Nyumba in vyumba vitano Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo mita 100 toka barabara ya Bagamoyo. 2. Kiwanja ni 4303 sq meter 3. Ina hati miliki. 4. Bei 900m...
  7. Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema. Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
  8. G

    Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  9. NYUMBA AMBAYO BADO HAIJAISHA INAUZWA

    .
  10. Nini chanzo cha nyumba nyingi zinazojengewa Tanzania kubaki mapagala yaliyogeuka magofu?

    Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na hatimaye kugeuka magofu. Tatizo huwa ni nini? Ni ujenzi wa kukurupuka? Ujenzi bila kuwa na...
  11. Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  12. L

    NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
  13. Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
  14. Nahitaji nyumba maeneo ya Masaki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
  15. Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  16. Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2 0656077998 Inauzwa 90mil
  17. Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  18. K

    Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

    Ghawizah, Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo. ♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning. ♤ Iwe na public toilet. ♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo . ♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
  19. Usijenge tu ili nawe uwe na nyumba

    1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza. Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
  20. Kwanini nyumba ikifika hapa inakuwaga ngumu kumalizia?

    Nguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma nini shida?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…