nyumba

  1. Waufukweni

    Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  2. RIGHT MARKER

    Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga.

    📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
  3. Melki Wamatukio

    Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  4. INJECTION TECHNICIAN

    Dunia ni nyumba ya mafunzo

    Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa...
  5. M

    Nyumba inauzwa kibamba mwisho tzs. 60m...Eneo 1044 sqm

    Nyumba Inauzwa milioni 60 maongezi yapo Location📍IPO KIBAMBA NJIAPANDA YA SHULE -Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, Vyumba viwili ni master, dinning room, sitting room, kitchen na public Toilet Nyumba ipo 3Kms kutoka morogoro rd na ipo kwenye barabara ya mtaa (Hondogo) -Plot size Sqm 1044...
  6. Ngongo

    Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

    Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri. Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri. Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri. Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri...
  7. A

    Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha...
  8. Crocodiletooth

    Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  9. E

    Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  10. Bosspraise

    Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  11. MakinikiA

    Usiogope kujenga nipe bajeti yako nikupe nyumba yako.

    Kama rooms 2 haitazidi 10m Kama rooms 3 haitazidi 15m
  12. A

    Nyumba inauzwa Madale mivumoni

    Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M Karibuni sana
  13. matunduizi

    Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  14. TUKANA UONE

    Nyumba inanuka harufu ya mzoga, Haikaliki, haipangishiki wala hainunuliki

    Je wajua? Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE! Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali fulani na kila ninapokuja nimekuwa nikizunguka maeneo tofauti tofauti na kuonyeshwa mji na mwenyeji...
  15. Mohamed Said

    Haji Mohamed Nundu Anaeleza Alivyojenga Nyumba Yake Juu ya Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/YCy-vx00WOs?si=a8YH5FeZXMa2bgvy
  16. Waufukweni

    Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  17. A

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
  18. B

    Natafuta namna ya kuua au kuwakimbiza mchwa ndani ya nyumba

    Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali...
  19. gallow bird

    Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  20. Mindyou

    Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
Back
Top Bottom