nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Mbolea 12 za nyumbani kwa mimea ambayo unaweza kupata kwa urahisi nyumbani

    1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu. 2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa kabisa kwa mimea inayopenda udongo wa asidi kama vile waridi au blueberries. 3. Maganda ya mayai yaponde...
  2. JanguKamaJangu

    Ndugu wanamtafuta PROSPER MHINA KWINGWA, Mkazi wa Karakata (Dar), hajaonekana nyumbani tangu Februari 25, 2025

    Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi . tafadhali wasiliana na kituo cha polisi cha karibu au kwa ndugu kupitia namba zifuatazo 0754210337 au...
  3. Waufukweni

    Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  4. J

    David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  5. T

    Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  6. The Watchman

    Dkt. Gwajima: Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu

    "Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi. Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake...
  7. The Assassin

    Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  8. Leonce jr

    Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

    Assalama leko. Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story...
  9. Ojuolegbha

    Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua

    Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua. Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari na ina watu wakweli, karibu tanga kwasababu unapendwa huku, najua umesikia sifa zetu za mapenzi na...
  10. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  11. Strong25

    Weka alluminium nyumbani kwako

    Nawasalimu kwajina lamuungano Unataka alluminium & vioo..? Hapa umepata Njoo nikupendezeshee nyumba yako kwagarama nafuu kabisa NATENGENEZA _madirisha _milango _partition za maoficini _partition za maduka ya dawa _makabati ya chips _kuweka vioo vya saloni N.k Napatikana Dar es Salaam ...
  12. Rorscharch

    Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
  13. Kinjekitile Jr

    Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  14. dorge

    Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  15. J

    Ni kitu gani ambacho kinakufanya usiende nyumbani kwenu japo unapamiss sana

    Kwangu mimi ni ugumu wa maisha
  16. S

    SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  17. Dr Luu

    Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  18. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji yasogezwa mbele, Kikosi cha Dodoma charejea nyumbani

    Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma. Taarifa ya Bodi Ligi
  19. ashomile

    Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  20. AmKATRINA

    Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
Back
Top Bottom