The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Naunga mkono mtazamo wa...
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa...
Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa
Imagine. Ukurasa rasmi wa ofisi ya mkuu wa mkoa (Instagram page) hauna habari yoyote iliyowekwa tangu...
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Wakuu,
Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu.
===========================================
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake...
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na...
Ripoti mpya ya UN Women inaonyesha kuwa wanawake na wasichana 85,000 waliuawa kimakusudi na wanaume mwaka 2023, ambapo asilimia 60 (51,100) ya vifo hivyo vilitokea mikononi mwa wenza au wanafamilia wa karibu. Hii inathibitisha kuwa nyumbani, mahali ambapo wanawake wanapaswa kuwa salama zaidi...
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi...
DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani.
Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au wageni wakilalamikie ama kwa kutoiva, vumvi, mafuta au chochote kile kisicho sawa kwenye chakula...
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali...
Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko?
Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄
Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe.
Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada.
Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!
Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe...
Wakuu
Yericko Nyerere ameandika;
Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini.
Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
Wanabodi
Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.