Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.
Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:
Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?
Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha...