The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao.
Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
Soma kwa utulivu mkubwa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha...
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo:
0716600198 au 0758120535.
Masomo ni kama ifuatavyo:
SEKONDARI: Physics and Mathematics
MSINGI: Science, Mathematics, English and Social studies...
Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
Kisa kiko hivi
Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu kwao na huyo binti wala wazazi wake, na pia yeye jamaa hana budget ya kulipa msichana wa kazi kwa sasa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
Mtuhumiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amedai kuwa silaha aliyotumia aliitengeneza nyumbani na alitengeneza nyingine kadhaa za aina hiyo.
Polisi wa Nara Nishi wamesema mtuhumiwa Tetsuya Yamagami, 41, amekiri kufanya shambulizi hilo kwa sababu binafsi alitumia silaha...
Kweli nyumbani kulianza kunoga, basi kadhaa tukarudi kwa machale, kukawa na ile huduma ua BUFEE (MPYA) ya kujipangie, yani kama nataka MB tu najichagulia na kama ni dakika tu, nachagua, na kama ni vyote najipangia kua MB ngapi, Dakika ngapi na sms ngapi, najiunga ninavyotaka.
Ila naona siku...
Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico.
Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
Habari za leo wadau!
Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu.
Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini.
Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo.
Natanguliza shukurani.
Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo!
Picha: Moja ya pozi la Joseph Haule kipindi akiwa na afya tele
===
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa msanii Joseph Haule...
Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi.
Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
Salaam kwenu wakuu...
Rafiki yangu yupo kwenye ajira Serikalini mwaka wa5 sasa hivi. Japo umri wake umesogea lakini anasema hayupo tayari kuoa sasa hivi hadi pale atakapoona familia yake imesimama vizuri kiuchumi.
Amenieleza kuwa ana wadogo zake wanamtegemea katika gharama zote za elimu ambapo...
Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo...
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.
Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.
Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.