nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano. Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
  2. MakinikiA

    Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  3. Jemima Mrembo

    Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  4. MSAGA SUMU

    Wachina: Mama ukifika nyumbani wasalimie Kikwete na Ridhiwani

    Hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mwisho kupewa mama pale airport wakati anaagwa na wenyeji wake na kutakiwa safari njema na viongozi wa juu wa chama cha kikomunisti na serikali ya China. Bila shaka Wachina wanapata taarifa za uchapakazi wa Ridhiwani katika nafasi yake ya ubunge.
  5. JanguKamaJangu

    Zumaridi aiambia Mahakama kuwa Polisi walichukua Tsh. Milioni 19 nyumbani kwake

    Shahidi namba tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Shambulio la kudhuru mwili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi ametoa ushahidi wake leo Novemba Mosi, 2022 huku akidai kuwa Askari waliofanya ukaguzi katika nyumba yake wakati akikamatwa walichukua shilingi Milioni 19 na laki...
  6. Poker

    Namna ya kutengeneza Cheese 🧀 ukiwa nyumbani kwako

    Mahitaji: Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu. Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa. Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando. Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
  7. Samahani

    Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

    Siku za karibuni, nikiwa likizo, nilimtembelea ndugu yangu mmoja ambaye aliugua kwa muda mrefu na sikuwa nimepata nafasi ya kumtembelea. Wakati tunazungumza, kuna jirani yake alikuja na kuomba kuazimwa jembe ili akaoteshe mche wa mti aliokuwa ameununua huko alikotoka. Cha kushangaza, hata huyu...
  8. NetMaster

    Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  9. Suzy Elias

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani kapigwa nyundo nyumbani kwake

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
  10. Mr Dudumizi

    Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  11. GENTAMYCINE

    TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  12. S

    Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

    Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia. Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko. Eleweni wako watu...
  13. NetMaster

    Kipi kinapelekea jeans zangu kupauka nikifulia nyumbani na kutopauka nikipeleka dry cleaner?

    Nina jeans zangu zilikuwa zinapauka na kuchuja nikizifua nyumbani kwa sabuni za mche za jamaa na sabuni za unga hizi tunazonunua maduka ya mangi. Sasa nimeanza kuzipeleka kwa dry cleaner wa mtaani buku (1,000) kwa jeans moja. Hii kwa sasa nimeweka kwenye bajet kabisa, yani jeans zangu zina...
  14. Tanzaniampyawa

    80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

    Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu...
  15. Checnoris

    Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  16. Expensive life

    Record za Yanga SC mechi tano za kimataifa nyumbani zinatisha

    Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa. Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa na rekodi mbaya wanapocheza uwanja wa nyumbani. Kwa ujumla viongozi na...
  17. Fred Katulanda

    Sasa unaweza kufuga Nyuki nyumbani kwako

    Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana. Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
  18. Nobunaga

    Kwanini unaishi nyumbani kwenu hadi leo?

    Majibu ya vijana wa hovyo yanachekesha sana 😂😂
  19. K

    Tetesi: Rais wa China awekwa katika kizuizi cha nyumbani

    Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
  20. S

    Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
Back
Top Bottom