nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Bushmamy

    Mama wa nyumbani anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni au kazi yoyote.

    Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
  2. KijanaHai

    Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  3. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  4. tang'ana

    Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  6. Webabu

    Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

    Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za kiuchumi nyumbani kukataa. Germany freezes Ukraine military aid as budget crisis hits at home
  7. B

    Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

    Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
  8. Mwande na Mndewa

    Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

    Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote. 1. Kuhusu hoja ya Abdul...
  9. Ncha Kali

    Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  10. U

    Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  11. T

    Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  12. BARD AI

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  13. God Fearing Person

    Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  14. GENTAMYCINE

    Iran walikana kuwasaidia hawa Wahuni je, kwa Kitendo cha Muhuni na Mpumbavu Kufia ndani yao tena Nyumbani Kwake hakujawaumbua Mchana kweupe?

    Ndiyo maana kila Siku huwa nasema Mnafiki yoyote yule huumbuliwa wazi wazi na Mwenyezi Mungu. Kipo wapi sasa?
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

    KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi za uzalishaji Mali, kujipatia kipato ili uweze kuishi. Yàani Mûngu anapokuambia Fanya Kazi...
  17. stabilityman

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  18. Stroke

    Mwanangu hali kabisa nje ya nyumbani

    Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri. Sasa huyu dogo he is almost 4 now. Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani. Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula. Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu. Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda...
  19. SAYVILLE

    Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  20. Mr Chromium

    Mbinu gani ya kuzuia Nyoka wasiingie nyumbani au wasisogee karibu na nyumba? Kuna dawa yoyote ya kufukuza?

    Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue. Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni. Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe za asili za jadi au za kisasa!!
Back
Top Bottom