Wakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko...