Habari zenu Wana JF wenzangu!
Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata mengi sana kupitia jukwaa hili.
Kuna members mpaka majina yao yapo kichwani kwa nyuzi nzuri na...
Habari za wakati huu,
Nimekuwa nikisoma nyuzi mbali mbali humu Jamii Forums na nimefurahishwa nazo. Ila sifurahishwi na hii tabia ya mtu kupachika mstari wa kiingereza eti ndo kuonesha Msisitizo wa Mawazo yake.
Kwa mfano, utakuta mtu anaongelea kuhusu kutokuwepo kwa Mungu, anaadika hivi...
Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta.
Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili.
Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani.
Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi.
Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya kuwa na uelewa mdogo au ni mnufaika wa moja kwa moja wa katiba mbovu hii iliyopo.
Wanaobeza...
Habari wana JF,
Mwaka umefika nusu, je una progress vizuri kwenye mipango yako uliyojiwekea au ndiyo hivyo tena tunasubiri mwaka uishe tutoe lawama? Ni wakati mzuri wa kujitathmini.
Asanteni
😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka.
1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao.
2- beaf la Bujibuji na The Icebreaker laingiliwa na ndege JOHN
3- Mshana Jr akutwa na ungo kwenye nyumba ya SHIMBA YA BUYENZE...
Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo rafiki na vibali vya kazi kwa wawekezaji.
Kuna watu wanajenga hoja kwamba mtizamo huu wa Mh.Rais...
Bila shaka hamjambo.
Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo.
Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana na ugonjwa wa kupumua,jana nilivyomuona Dr.Mpango ndo nikajua mhhh huo ugonjwa ni shida...chukua...
UJASUSI NI PEMBE ISIYO NA NYUZI°
Na. Robert Heriel.
Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili
Hata sasa hatukuoni lakini wewe watuona. Wala hatusikii usemapo lakini wewe watusikia. Wayajua mawazo yetu lakini sisi hatujui watuwazia nini. Twakuona upo mbali lakini wewe watuona tupo...
Habari wana JF,
Nimesoma nyuzi nyingi za kisiasa humu ndani lakini maudhui yake ni ya kinajimu zaidi. Mara utasikia chama hichi kitashinda mara kile kitapata wabunge wachache na kadhalika nakadhalika. Tuwaachie wanajimu kazi yao, tusubiri 28 October.
Jiratibu.
Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama.
Kada huyo alilazimika...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.