nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuzi za jf zilizo bora kwangu, zilizowahi kunichekesha sana

    Humu jf kuna watu story zao ni zaidi ya movie, Uzi wa kwanza ni WA huyu jamaa anajiita analyse, title ya Uzi inasema sijivunii mama wa mtoto wangu, jamaa alipigwa na dingi yake kabari sababu ya kuzalisha jimama, jamaa alipigwa kabari hadi akajinyea,😂😂😂 alivoachiliwa akajisemea kichwani...
  2. Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

    Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi. Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi...
  3. FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

    Haijakamilika Mpaka ikamilike. Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki. Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa. Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania. Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare...
  4. Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni: 1. Simba asanteni kwa kushiriki. 2. Wakienda Misri watapigwa nyingi. 3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC. 4. Al Ahly wa kawaida sana. 5......... 6......... NB: Uto mko kundi moja...
  5. Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

    Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert Heriel Mtibeli 4. Deeppond 5. GENTAMYCINE Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
  6. Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane. Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya. Mfano. Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama...
  7. Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na...
  8. Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

    Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa Hata kwa mabaya yangu. Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa...
  9. Unfortunately, sehemu kubwa ya nyuzi humu JF ni full miropoko

    Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania. Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put...
  10. Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake). Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa...
  11. Unahisi ni nyuzi gani hapa JF zinamchekesha sana Rais Samia?

    Habari wakuu, Rais Samia leo kasema huwa anafuatilia sana JF, na anasoma maoni yetu hapa jamvini huwa anacheka sana. Je, unadhani au unaweza guess ni nyuzi gani ua comment gani zinamfanya acheke zaidi? Niko paleeeee.
  12. M

    Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

    Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu? Au zinapobaki haziwezi leta...
  13. Nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi mno, kulikoni?

    Hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi sana, ni muda mrefu sasa lakini this time imekua too much. je umekutana na nyuzi za namna hii au zinazorandana na hizi za kusifu na kuabudu ujinga? Tanzania yawa nchi ya mfano Africa.....blah... blah.... blah.... Tanzania Yashika Namba 4 Kati ya Nchi 10...
  14. M

    Zifahamu nyuzi pendwa za Jamii forums

    Taja nyuzi pendwa hapa jf
  15. TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  16. Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  17. Mbona nyuzi za utajiri zinaletwa zaidi na watu maskini badala ya kuletwa na watu matajiri?

    Yaani wanaotoa elimu zaidi jinsi ya kupata utajiri ni watu maskini hahahahaha. Kwa nini watu matajiri wasitoe nyuzi za jinsi ya kupata utajiri na kuondokana na umaskini? Halafu nao maskini watoe experience yao kwenye umaskini? Sasa, unamkuta maskini ana full info za utajiri na umaskini at the...
  18. R

    Wingi wa nyuzi(Threads) za malalamiko kutoka CCM chanzo ni nini?

    Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala. Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za hapa JFs zenye mwelekeo wa malalamiko kila kukicha hivi karibuni. Wanaccm hasa wale wa ccm mpya (CCM...
  19. Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

    Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia, 1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge...
  20. T

    Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

    Sio siri mtu huyu Britanicca ni watu ninaowakubali sana hapa JF. Ni mtu mwenye uwezo wa ajabu sana wa kufikisha taarifa kwa ufupi na akaeleweka lakini zaidi ni mtu anayejua vitu vingi sana kwenye nchi hii na zaidi ya yote ninapenda mtindo wako wa kujifanya kuuliza jambo huku akiwa analijua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…