obama

  1. britanicca

    Biden alimwambia Obama Kidogo ajiuzulu

    Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
  2. kwa-muda

    Kumbe ni Obama aliyeiomba Qatar iwape Hamas ruhusa ya kuweka kambi yao na ofisi huko

    Historia bwana tamu sana. Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na Qatar. Mwaka 2011, Obama akaomba Qatar iwapatie hamas ruhusa ya kuweka ofisi zao Doha na isaidie...
  3. G

    Obama kagoma kustaafu ale pension anataka kushika remote na kupitisha marais wake wa Democrats, Biden kamtia adabu !

    Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker, Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !! Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ? Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu...
  4. M

    Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  5. mdukuzi

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  6. Suley2019

    Obama kumpigia kampeni Kamala Harris

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, anajiandaa kufanya kampeni kwa ajili ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika juhudi za mwisho kuelekea uchaguzi. Obama, ambaye ni Kiongozi mashuhuri wa Chama cha Democratic, ataanza kampeni zake kwa Harris Alhamisi ijayo huko Pittsburgh, huku akipanga...
  7. Nigrastratatract nerve

    Barack Obama alisema, "We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek."

    Barack Obama alisema, "We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek." Hii ni sehemu ya hotuba yake maarufu aliyotoa mnamo 2008 wakati akizindua kampeni yake ya urais. Maneno haya yanaonyesha wito kwa wananchi kwamba mabadiliko wanayotaka hayataji kwa nguvu za nje bali...
  8. Lycaon pictus

    Speech ya Obama kwenye kongamano la Democrats

    Huyu jamaa ukimsikiliza na ukisikiliza wanasiasa wengine, ni mbingu na ardhi. Bongo ukimtoa Nyerere, ni mwanasiasa gani mwingine alikuwa na hotuba zenye nguvu? https://youtu.be/AxxVM_Vfcck?si=rpHqgebDhTgZTs33
  9. Mturutumbi255

    Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  10. JanguKamaJangu

    Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  11. Stuxnet

    Kanye Ataka Mapenzi ya Utatu (Threesome) na Michelle Obama

    Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome with a beloved First Lady: Michelle Obama. In an interview with Justin Laboy on The Download...
  12. 2 of Amerikaz most wanted

    Orodha ya nyimbo bora za Barak Obama kwa mwaka 2023

    Barack Obama unveils his favorite songs of 2023 Are y'all rockin with any of these songs? RAP
  13. Ritz

    Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  14. M

    Obama aikosoa vikali Israel; aiambiia: Wewe ndiye sababu ya vita vya Ghaza na maafa ya Wapalestina

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa. Kwa...
  15. MSAGA SUMU

    Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
  16. badison

    Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

    Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi. Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo...
  17. MALCOM LUMUMBA

    Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
  18. P

    Kujiegemeza kwa PM wa UK Rishi Sunat ni hadithi ile ile ya matusi tuliyomtukana Obama

    Waafrika tuna ufundi mwingi wa kujihusianisha na watu maarufu wenye madaraka makubwa huko Ulaya na US. Mtu hata anayeonekana kama ni mchovu tu akianza kuongea atataka awatishe wanaomsikiliza kwa kuchomekea mbwembwe za hapa na pale ili mradi tu aonekane ni wa maana kwa wanaomsikiliza. Ni suala...
  19. M

    NAUZA Biography(Vitabu) za Nyerere, Mkapa na Obama

    Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
  20. BARD AI

    Obama ashinda tuzo ya Emmy kama Msimuliaji Bora wa Filamu

    Rais huyo Mstaafu amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo kupitia filamu ya 'Our Great National Parks', Makala inayohusu hifadhi za Taifa iliyotolewa na Emmy, filamu hiyo inaoneshwa na Netflix. Obama anakuwa Rais wa pili wa Marekani kushinda tuzo ya Emmy, akitanguliwa na Dwight Eisenhower, ambaye...
Back
Top Bottom