obama

  1. Analogia Malenga

    Obama ampongeza Biden kwa kushinda Urais

    Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Barack Obama amempongeza Joe Biden kwa kushinda Urais mwaka huu dhidi ya mpinzani wake Donald Trump Katika taarifa yake amesema kwa mara ya kwanza mwaka huu wamarekani wamejitokeza kwa wingi kupiga kura. Aidha kila kura ilihesabiwa na kumfanya Biden ashinde kwa...
  2. Analogia Malenga

    Marekani: Biden avunja rekodi ya Obama

    Mgombea Urais wa Marekani amevunja rekodi iliyoshikiliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwa kupata kura milioni 70. Rais Barack Obama alipata kura 69,498,516 zilizoweza kumuweka madarakani mwaka 2008 kwa kuwa aliweza kuwa na 52.93% dhidi ya mpinzani wake. Katika Uchaguzi Mkuu wa...
  3. Sam Gidori

    Kitabu kipya cha Obama kinatarajiwa kutoka Novemba 17, nakala milioni 3 zimeagizwa kuchapishwa

    Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa siku ya Alhamisi. Kitabu hicho chenye kurasa 768 kilichopewa jina "A Promised Land" ama Nchi ya...
Back
Top Bottom