Asalam Aleykum wapenzi wana JF,
Wakati nafuatilia mchakato wa kumpigia chapuo Raila Odinga ili awe Mwenyekiti wa umoja wa Afrika, Mh. Ruto alifanya hafla na kuwaalika viongozi mbali wa Kiafrika pamoja na viongozi wastaafu.
Mmoja wao alikuwa Rais mstaafu wa Nigeria, Mh. Obasanjo ambaye...
Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga.
Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila...
Wasalaam Wakuu,
Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/ mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi?
Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo.
Taarifa zaidi kutolewa
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.