ocean road

  1. Vichekesho

    Mwamposa apelekwe Ocean Road awaombee wagonjwa, Gwajima apelekwe Makaburi ya Kinondoni afufue wafu

    Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine. Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli. Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza...
  2. J

    Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja...
  3. Roving Journalist

    Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  4. T

    MRI ocean Road itengenezwe

    Wakuu Na mgonjwa Ocean road hapati tiba kwa sababu Machine imeharibika ni week ya pili inakata kipi kinashindwa kutatuliwa ifanye kazi na malipo wanapokea watu wa bima wanapelekwa kupimiwa mhimbili kwanini wa cash nao wasingewafanyia hivo......... sikumpenda Jiwe ila namkumbuka
  5. BARD AI

    Asilimia 75 ya Wanawake wanaofanya Uchunguzi wa Saratani Ocean Road wanakutwa na Ugonjwa

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga wa Taasisi ya ORCI, Dkt. Crisprin Kahesa ambaye amesema, Watanzania wengi wanaogopa na hawapo tayari kupokea majibu ya vipimo vya Saratani jambo ambalo ni hatari - Amesema Wanawake wanaofika katika Taasisi hiyo hufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti...
  6. BigTall

    Wataalamu wa Taasisi ya Ocean Road wafanya vipimo vya Saratani bure Mkoani Mara, Wababa waongoza kujitokeza

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imeendelea na kampeni ya kutoa elimu, vipimo na matibabu ya Saratani katika mikoa mbalimbali Nchini Tanzania, ambapo safari hii timu yao imefika Mkoani Mara. Wataalamu wabobezi wa Saratani ya Ocean Road wamewasili Mara tangu Jumatatu ya Juni 12, 2023 na...
  7. John Haramba

    75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  8. B

    DOKEZO Huduma za Tiba Ocean Road hadi wagonjwa waandamane?

    Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku. Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa...
  9. B

    Benki ya CRDB yakabidhi kituo cha mawasiliano Ocean Road

    Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
  10. JanguKamaJangu

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yakabiliwa na uhaba wa matiti bandia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
  11. phina98

    Gharama za operation ya saratani ya matiti Hospitali ya Ocean Road

    Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani 🙏🏻
  12. Christopher Wallace

    Serikali tunaomba mtufungulie ile barabara ya Feri kuelekea Ocean Road Hospital

    Wasaalam wanabodi, Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu. Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote. Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko...
  13. Jamii Opportunities

    HEALTH LABORATORY SCIENTIST II - 3 POST at Ocean Road Cancer Institute (ORCI)

    POST HEALTH LABORATORY SCIENTIST II – 3 POST EMPLOYER Ocean Road Cancer Institute (ORCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-08 2022-06-21 JOB SUMMARY ok DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To carrying out laboratory tests and examinations as well as laboratory research. ii. To inspecting and storing...
  14. Jamii Opportunities

    MEDICAL OFFICER II - 5 POST at Ocean Road Cancer Institute (ORCI)

    POST MEDICAL OFFICER II – 5 POST EMPLOYER Ocean Road Cancer Institute (ORCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-08 2022-06-21 JOB SUMMARY OK DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To perform routine medical services for in-patients and out-patients. ii. To perform daily ward rounds, participate in major...
  15. Jamii Opportunities

    ENGINEER II (BIOMEDICAL ENGINEER) - 1 POST at Ocean Road Cancer Institute (ORCI)

    POST ENGINEER II (BIOMEDICAL ENGINEER) – 1 POST EMPLOYER Ocean Road Cancer Institute (ORCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-08 2022-06-21 JOB SUMMARY OK DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i) To establish and implementing preventive maintenance plans for the Institute’s facilities. (ii) To ensure the...
  16. beth

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR): Asilimia 70 ya Saratani yabainika kwa Wanawake

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema mzigo wa magonjwa ya saratani upo kwa wanawake kwa asilimia 70. Pia imesema hakuna takwimu za kuthibitisha Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya saratani nchini. Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Prof...
Back
Top Bottom