Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) imechukua hatua kufuatia kukamatwa na madai ya kushambuliwa kwa mwandishi wa Citizen TV, Francis Ode, wakati akiripoti maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta jijini Nairobi.
Soma Mwanahabari wa Citizen TV akamatwa na Polisi akiwa...