odinga

Odinga is a surname. Notable people with the surname include:

Jaramogi Oginga Odinga (1911–1994), Kenya's first vice-president and later opposition leader.
Raila Odinga (born 1945), Former Prime Minister of Kenya, son of Jaramogi Oginga Odinga
Ida Odinga (born 1950), Kenyan businesswoman, activist and educator, wife of Raila Odinga
Oburu Odinga (born 1943), MP, son of Jaramogi Oginga Odinga
Norman Odinga (born 1963), Canadian association football player
Sekou Odinga, American activist from the Black Liberation Army

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ruto asimpige Odinga atachoka tu

    Kwa akili ya haraka haraka yes Maandamano yanarudisha nyuma nchi lakini RAILA ODINGA ni tatizo kwa kenya. Yes kuna mambo aliyapigania hapo nyuma wakapata katiba mpya lakini kwa wakati huu alitakiwa kumuunga mkono RUTO ili aiongoze Kenya kwa amani. ODINGA anafanya fujo ili akipigwa aitwe...
  2. B

    Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

    Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati. 4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
  3. Raila Odinga, the political dinosaur of Kenya

    Hey fellow East Africans, please remind Raila zodinga, that he is now irrelevant, he should pass on the political wand to a younger generation. His kind of politics reminds me of the long extinct dinosaurs, and he is heading that way, fast.
  4. Odinga amwambia Ruto 'Sitishiki na siwezi kusitisha Maandamano

    Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali. #Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
  5. Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.” Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...
  6. Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  7. R

    Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni kutokana na itikadi na misingi mizuri ya kuanzishwa kwake. Prof Wajackoya, nguli wa sheria na...
  8. J

    Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  9. Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  10. Maisha haya duh! Raila Odinga kapigwa ban na Mzungu!

    Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban kukanyaga Ulaya na USA? Kweli Jew hana rafiki, ipo siku hata hapa kitabadilika tu, ni swala la muda kama...
  11. Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  12. Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  13. Raila Odinga: Nimekubali matokeo kuepusha umwagaji Damu na kushitakiwa ICC

    Ni takriban wiki mbili zimepita Tangu Rais William Ruto aidhinishwe na Mahakama ya Juu kuwa Rais Mteule na kuapishwa kuwa Rais wa 5, Raila Odinga ametoka hadharani na kusema hofu ya kifo na machafuko imefanya akubali kushindwa Urais. Odinga aliyegombea Urais mara 5 na kupoteza mara zote amesema...
  14. Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2. Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
  15. J

    Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

    Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
  16. Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
  17. K

    Ogingas Stand on Communism

    I came across this video between oginga odinga and the british journalist. communism may be the reason why he was denied a chance to be a president
  18. Kenya 2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  19. J

    Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

    Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye...
  20. Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…