Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Aron Kagurumjuli imesema umiliki wa kiwanja kilichopo kwenye kitalu namba 1,022 eneo la Sinza E, Dar es Salaam ni wa mtu binafsi kwa mujibu wa nyaraka zilizopo kwenye ofisi za ardhi.
Kauli hiyo imekuja kufuatia baadhi ya...