Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Aron Kagurumjuli imesema umiliki wa kiwanja kilichopo kwenye kitalu namba 1,022 eneo la Sinza E, Dar es Salaam ni wa mtu binafsi kwa mujibu wa nyaraka zilizopo kwenye ofisi za ardhi.
Kauli hiyo imekuja kufuatia baadhi ya wananchi wa eneo hilo kupinga kuhamishwa kwa ofisi za serikali ya mata wao pamoja na kujengwa vyumba vya maduka kwenye eneo linalodaiwa kuwa la vazi ambalo awali ilikuwepo ofisi hiyo hali iliyomlazimu Mwenyekiti wa mata huo, Clemence Kavishe kuhamishia shughuli za ofisi nyumbani kwake.
Chanzo: Azam news