ofisi za utumishi

  1. sam mirror 1

    Naomba mbinu za jinsi ya kufaulu Aptitude Test za Utumishi (PSRS)

    Habari wakuu samahani, Kama kuna yeyote ambaye amewahi pitia usaili wa online na akafauru vizuri mpaka kufika oral nilikuwa naomba atupe mbinu na alitumia web site gani kujiandaa na usaili. Asante.
Back
Top Bottom