Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amethibitisha kukamatwa kwa Wafanyabiashara wawili wakiwa na galoni zaidi elfu tano (5000) za oil feki Jijini Dar es salaam kufuatia taarifa za uwepo wa Mtandao wa Wafanyabiashara wanaozalisha na usambazaji wa vilainishi (Oil) bandia ambazo zimekuwa...