oil chafu kuuzwa tena

  1. Heisenberg

    Je, ni Biashara gani inaendelea hapa?

    Kwa wale ambao huwa mnapita maeneo ya magereji kama vile Tandale, Mwananyamala, Ilala na Kko bila shaka umeshawahi kuwaona watu wakipita na baiskeli au mikokoteni wakikusanya Madumu/ Chupa za oil za magari na pia wakikusanya oil chafu na kuondoka nayo. Baada ya utafiti kidogo inasemekana oil...
Back
Top Bottom