Kwa wale ambao huwa mnapita maeneo ya magereji kama vile Tandale, Mwananyamala, Ilala na Kko bila shaka umeshawahi kuwaona watu wakipita na baiskeli au mikokoteni wakikusanya Madumu/ Chupa za oil za magari na pia wakikusanya oil chafu na kuondoka nayo.
Baada ya utafiti kidogo inasemekana oil...