Mapambano ya Njaa duniani na harakati za kufikia lengo la pili (Zero hunger) kati ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) 17 zinaonekana kuzaa mtunda, Takwimu zinaonesha Njaa imepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, lakini kwa mara ya kwanza, Afrika ina idadi kubwa ya watu wenye njaa kuliko Asia...