oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

    "Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
  3. FRANCIS DA DON

    Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  4. M24 Headquarters-Kigali

    Prof Ndalichako alifaa kuwa Mgombea mwenza Oktoba 2025

    Kiukweli Mkoa wa Kigoma Una hazina ya wasomi mahiri. Ilifaa Prof Joyce achukue kijiti kwa PhD holder mwenzake
  5. F

    Oktoba 7 ni njama za natanyahu

    Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya: 1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na silaha kali kali kutoka Marekani,na sio hivyo tu,ni jeshi la watoto wa taifa la Mungu,wavamiwe na jeshi...
  6. Nyani Ngabu

    Hivi lengo la Hamas lilikuwa ni nini ile Oktoba 7, 2023?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu. Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili? Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote. Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu...
  7. Lord denning

    Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  8. ESCORT 1

    Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  9. Roving Journalist

    Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  10. Waufukweni

    Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
  11. U

    Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  12. Mindyou

    Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  13. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  14. Waufukweni

    Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0
  15. and 300

    Gachagua hatapokea mshahara mwezi Oktoba

    Aliyekua Naibu Rais Gachagua Mwezi huu hatapokea mshahara, kama ilivyo kawaida Bali nae inabid ajiajiri kama vijana wengi wanavyohusiwa na wanasiasa.
  16. Waufukweni

    Nchi 10 za Afrika zenye Bei nafuu ya Mafuta Oktoba 2024, Tanzania haipo!

    Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto za kimataifa na kikanda, nchi hizi zimefanikiwa kudumisha bei ya chini ya mafuta, jambo ambalo...
  17. Mtoa Taarifa

    LGE2024 TAMISEMI: Wananchi 26,769,995 wamejiandikisha katika Daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi kufikia Oktoba 19, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  18. JanguKamaJangu

    LHRC: Tanzania imeshuhudia utekelezaji wa Sheria kandamizi zinazominya uhuru wa Vyombo vya Habari

    Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
  19. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Mchengerwa afafanua kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024

    https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na Waandishi wa Habari kujibu madai kadha wa kadha yanayo husishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  20. Mtoa Taarifa

    Oktoba 10: Siku ya Afya ya Akili Duniani - Je, sehemu unayofanyia kazi inaheshimu na kujali masuala ya Afya ya Akili ya Wafanyakazi?

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili. Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
Back
Top Bottom