Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo kisamba chake c mchezo.
Diwani na Mbunge wa Old Moshi zingatieni Wananchi wanalalama na kulia Old Moshi...