Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha ,
ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo.
Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara.
Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi...
Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris:
"Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
Michezo ya mwaka 2024 ya Olimpiki imefungwa wiki iliyopita huko Paris, Ufaransa. Tovuti ya maoni ya kisiasa ya Australia “Lulu na Misisimko” hivi majuzi imetoa makala ya uchambuzi ikisema wakati wa Michezo hiyo, Marekani ilitoa madai yasiyo na ukweli dhidi ya China katika suala la matumizi ya...
Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya tafakuri ya kina nimeona niandike huu uzi kwa maslahi mapana ya taifa. Kama kawaida maoni yangu kuhusu...
Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri...
Tanzania Mungu katupa kila kitu.
1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii.
2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo.
3.Tuwawezeshe kwa kila namna kazi yao iwe ni kukimbia tu.
Nakadhalika na kadhalika.
Hata ki biashara...
Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu.
Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu.
TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha
Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1
Mpira Wa Miguu (Wanawake)
Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1
Handball
Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26
Mpira wa Mikono-Volley Ball (Wanawake)
Poland 3-1 Kenya
Mpira wa Kikapu (Wanaume)
Marekani 96-83 Sudani Kusini
Timu Mpira wa...
Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa ambapo aliutawala mchezo mzima leo Julai29, 2024 ...
Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics
In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.