Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano kusherehekea baada ya michezo hiyo kumalizika kwa mafanikio wiki iliyopita. Na wakapiga picha ya...
Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu...
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa kwa mafanikio makubwa. Beijing ambao ni mji wa kwanza ulioandaa Michezo yote ya Olimpiki ya Majira ya Joto na ya Baridi duniani, kwa mara nyingine tena iliishangaza dunia. Kauli mbiu ya michezo hii ni “Pamoja: Kwa Mustakabali wa...
Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
Hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China atatangaza kufunguliwa kwa michezo hiyo.
Wakuu wa mashirika ya kimataifa wakiwemo mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Bw...
Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
Hassan zhou
Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
Na Caroline Nassoro
Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itakayofanyika Beijing yamekamilika, na wanariadha wanaofanya majaribio katika viwanja vitakavyotumika kwa mashindano hayo, wametoa maoni chanya kuhusu maeneo yote yatakayotumika katika mashindano hayo.
Si hivyo tu...
Julai 31 mwaka 2015 mji wa Beijing China ulijawa na furaha, shamrashamra, nderemo na vifijo baada ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuutangaza kuandaa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi pamoja na michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi mwaka 2022, kwenye kinyang’anyiro...
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
Kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyomalizika hivi karibuni, kumekuwa na mambo mengi mapya ya kushangaza na kufurahisha, ikiwa ni pamoja baadhi ya nchi kupata medali kwa mara ya kwanza kwenye baadhi ya vitengo, na hata uwakilishi wa baadhi ya nchi kwenye michezo hiyo kuwa wa...
Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa mashindano hayo mwaka 2024.
Mashindano ya mwaka huu yalikuwa ya tofauti kutokana na maambukizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.