olimpiki

FC Olimpiki Tbilisi is a Georgian football team, which were playing in the capital, Tbilisi. The club were playing their home games at Olimpi Stadium.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya Olimpiki (TOC) wamuita Alphonce Simbu MUASI, kisa Mavazi ya mbio za Olimpiki Paris, Ufaransa

    Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha , ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
  2. Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  3. TOC kufanya uchaguzi Disemba 14, Filbert Bayi Kugombea tena

    Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo. Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
  4. DOKEZO Kashfa kubwa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), waziri pitisha fagio la chuma

    Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
  5. Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

    MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara. Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi...
  6. A

    Tetesi: Zanzibar kuandaa Olimpiki 2040

    Zanzibar ipo katika mchakato wa kuomba kuandaa mashindano ya Olimpiki 2040. Baada ya Qatar 2036.
  7. Olimpiki 2036 huenda ikafanyika Qatar

    1. Kama mnavyojua Wamanga hawana dogo, wameshaanza maandalizi kuomba ku-host 2036 Summer Olympics. Hapa kwetu Lisu anakashifu "Sponsors" wanaoweza kumnunulia gari ndani ta Sekunde. 2. Tujipange tukachukue Medali Qatar. 3. Mwaka 2036 sijui Rais atakua Nani aisee
  8. Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris: "Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
  9. Serikali haitirii Mkazo Michezo ya Olimpiki ila Yanga na Simba Ili kupumbaza wananchi

    Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m? Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
  10. Marekani ndiyo mlaghai kweli kwenye Michezo ya Olimpiki

    Michezo ya mwaka 2024 ya Olimpiki imefungwa wiki iliyopita huko Paris, Ufaransa. Tovuti ya maoni ya kisiasa ya Australia “Lulu na Misisimko” hivi majuzi imetoa makala ya uchambuzi ikisema wakati wa Michezo hiyo, Marekani ilitoa madai yasiyo na ukweli dhidi ya China katika suala la matumizi ya...
  11. Kamati ya Olimpiki wanalamba asali

    Hii Kamati wanalamba asali mwanzo - mwisho ila hamna Medali kwa Miaka 40 sasa. Tandau tunakulilia.
  12. Chama cha riadha (AT), kamati ya olimpiki (TOC) na CCM tafadhali someni huu uzi

    Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya tafakuri ya kina nimeona niandike huu uzi kwa maslahi mapana ya taifa. Kama kawaida maoni yangu kuhusu...
  13. Ndumbaro - Ni aibu kwa Taifa lenye watu 61M kupeleka Wanamichezo 7 Olimpiki

    Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki: Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri...
  14. Tanzania na Olimpiki tufanye hivi

    Tanzania Mungu katupa kila kitu. 1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii. 2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo. 3.Tuwawezeshe kwa kila namna kazi yao iwe ni kukimbia tu. Nakadhalika na kadhalika. Hata ki biashara...
  15. J

    Kete ya mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024

    Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
  16. Timu ya Taifa ya Riadha Olimpiki yatua Dar, kesho kupaa Paris, Ufaransa

    Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu. TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
  17. Nani Bingwa wako wa Kushoot katika Olimpiki

    Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
  18. Olimpiki Siku ya 4: Soka la Wanawake, Ujerumani 4-1 Zambia

    LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1 Mpira Wa Miguu (Wanawake) Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1 Handball Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26 Mpira wa Mikono-Volley Ball (Wanawake) Poland 3-1 Kenya Mpira wa Kikapu (Wanaume) Marekani 96-83 Sudani Kusini Timu Mpira wa...
  19. M

    Mtanzania ashinda mechi judo kwenye Olimpiki

    Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa ambapo aliutawala mchezo mzima leo Julai29, 2024 ...
  20. Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…