Paul Omba-Biongolo (born 28 December 1995) is a French heavyweight boxer. He competed at the 2016 Olympics, but was eliminated in his first bout by Abdulkadir Abdullayev of Azerbaijan.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita.
Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu.
Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela.
Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni.
Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao.
KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake.
HAWA ni graduate ambao...
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi.
Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
Mshindi wa bahati nasibu ya India amesema anaelemewa sana na maombi ya misaada ya kifedha kiasi kwamba anajuta kushinda Bahati Nasibu hiyo.
Anoop, dereva wa magari kutoka jimbo la kusini la Kerala, alishinda rupia 250m ($3.06m, £2.9m) katika bahati nasibu ya serikali mapema mwezi Septemba...
Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni...
Habari ndgu wana jamii forums,
Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari
Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho,
Je, unajua mtu anaweza kubeba...
Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni?
Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money
But we galla Love for them
most of women are shit
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu
Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo.
Au...
hello wanajukwaa,
hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia,
mfano:leo umekutana...
Wasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako...
KWAKO F.A MBOWE
S.L.P GEREZANI
Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako.
Nianzi kwa kusema ..
Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT
Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
Mheshimiwa Polepole kilio chake cha kuzimwa kwa sauti yake kinakisikika ila kwa hakika tunashindwa kumuelewa.
Kwa hakika kilio kama chake leo, kimekuwa chetu muda wote hata kipindi yeye akiwa mshirika mkuu wa mamlaka katika kutunyamazisha.
Ikumbukwe Mh. Polepole alikuwa huyu hapa katika...
Hamchoki ndugu zetu, mjitume maana huo uzembe utawatesa sana na kuendelea kubaki maskini miaka yote licha ya raslimali zote hizo.
Two Tanzanians have been charged with sneaking their countrymen into Nairobi for exploitation through commercial begging.
The suspects, Kuyi Paulo and Sita Yohana...
Leo nimehitimisha uchunguzi wangu usio rasmi. Nilichoona ni kuwa idadi ya omba omba jijini Dar imeongezeka. Na mamlaka husika sijui Wana mkakati gani kuwaondoa hawa ndugu zetu.
Hili ni tatizo kwa ustawi wa jamii.
Hatua za madhubuti zichukuliwe kwa taifa lililo kwenye uchumi wa kati
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia.
'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.