Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato.
Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao.
Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela...