ombaomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Vijana UVCCM watakiwa kuacha kuwa ombaomba

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji. Kunzenza...
  2. Jaji Mfawidhi

    DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  3. joto la jiwe

    Tanzania yajibu kuhusu ombaomba wanaopelekwa Kenya

    MY TAKE: Ni matumaini yangu kwamba Kenya itatekeleza wajibu wake Kama nchi ya kuwatafuta na kuwakamata wale wote wenye kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha binadamu. Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  4. JanguKamaJangu

    Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  5. Lycaon pictus

    Asili ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba

    Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871). Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara...
  6. John Haramba

    Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  7. Da Vinci XV

    ANGALIA OMBAOMBA HUYU ANAVYOCHOKONOA WENYE DINI

  8. K

    Kwanini Simba na Yanga ni timu kongwe nchini lakini bado ombaomba?

    Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama. Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi. Hawa...
  9. Mr. MTUI

    Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
  10. M

    SoC01 Mbinu Endelevu za Kuwaondoa Ombaomba Mitaani na Kuwafanya Wajitegemee kwa Kipato

    UTANGULIZI: Kwa muda mrefu kumekuwapo na wimbi la ombaomba katika miji na majiji nchini kwetu. Pamoja na serikali kuchukua hatua mara kadhaa kuwaondo ombaomba hawa lakini tatizo limekuwa likijirudia kila wakati na kubakia kuwa tatizo sugu lililokosa ufumbuzi endelevu. Pengine ni kutokana na...
  11. FRANCIS DA DON

    Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

    Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi yatakapopigwa marufuku. Nchi nyingi za Ulaya zitapiga marufuku magari yenye sumu ya ukaa by 2030. Vinu vya...
Back
Top Bottom