ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. Dasvidaniya

    Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

    Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
  2. Chance ndoto

    Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  3. Harvey Specter

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  4. S

    Ntakusaidia Kukuza Biashara Yako Kidigitali (Kwa Ombi Dogo Tu)

    Habari wanajamvi, Mi kijana wenu leo nimekuja kivingine. Mungu amekuwa mwema kwangu, na mwaka huu nna azimio la kubadili maisha ya watu kutumia ujuzi wa teknolojia nlo nayo. Kwa sababu zilizo nje ya mada ya leo, nimelazimika kuanza upya (nilipoteza kila kitu 2024). Ila, mwamba hang'atuki vitani...
  5. A

    Ombi kwa TEMESA

    Mtusaidie kupaza Sauti na kuwafikishia wahusika Ndio tunachangamoto ya Kivuko lakini Hii Bei ya kivuko cha Azam sea tax kutoka Kivukoni kwenda kigamboni ni kubwa mno kutoka sh 200 mpaka Sh 500 hawaja tusaidia wametuongezea tatizo jengine..
  6. K

    Ombi la kuwekwa kwenye kikosi Cha kutafuta ushindi wa Dkt. Samia, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo. Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa...
  7. GENTAMYCINE

    OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

    Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake. Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa...
  8. 01-01-2025

    Ombi la nafasi ya kazi

    Habari wana Jamii forum Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninae patikana Chamwino dodoma, Nina uhitaji wa kazi yeyote au nafasi ya kazi kama legal officer ELIMU Nimehitimu shahada ya Sheria mwaka 2022 Nime maliza masomo ya shule ya sheria kwa vitendo Law school of Tanzania ambapo na...
  9. Mad Max

    Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  10. snipa

    Ombi langu Kwa serikali kuzuia majaribio yanayofanywa kwenye mwezi na jua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi. Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika. Media hasa za uingereza...
  11. F

    OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  12. itakiamo

    Ombi kwa Azam TV

    Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante
  13. Siri yangu

    Ombi kwa maafisa forodha kama upo humu nakuomba Pm

    Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu. naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox nina shida nahitaji msaada maelezo yote utayapata pm
  14. popah21

    Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  16. christopher mlewa

    Ombi rasmi la kukaribishwa JF

    Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF. ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape nguvu ya kunikaribisha.
  17. N

    Usaidizi unahitajika katika ombi la pasipoti

    Habari, Ninahitaji vidokezo kwa ombi langu la pasipoti Hali: Mimi ni mwanafunzi kwa sasa Ninahisi kusafiri masomo yangu baada ya kumaliza shule yangu, sio sasa hivi Swali, katika maombi wanauliza "uthibitisho wa kusafiri" Niandike nini kwa sehemu hiyo? Sina mipango yoyote ya usafiri wa...
  18. GENTAMYCINE

    Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  19. Makala01

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Bwana YESU asifiwe wote humu' Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke. Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia. Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti...
  20. Mshana Jr

    Ombi la kurejeshwa kwa mada maalum ya waliotekwa ama waliopotea

    Will due respect Naomba uongozi wa JF utafakari tena uamuzi wa kuifuta mada husika niliyoiweka hivi karibuni Ni mada inayohusika na uhai wa watu .. Kwenye dunia hii hakuna kitu cha thamani kama uhai kwakuwa hakuna vipuri vya uhai Naomba with all due respect mada husika iweze kurudishwa ili JF...
Back
Top Bottom