ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kwa unyenyekevu mkubwa, ombi kwa BBC na DW

    Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu. Asanteni
  2. hp4510

    Mimi kama mdau wa utalii nina ombi Kwa TANAPA

    Wakuu habari za weekend, Last week nilienda kupumzika mbugani mikumi, na nikalala kwenye bandas za Tanapa. Mambo ambayo nimejionea Aisee ni mambo ya aibu Sana hasa tukijua kuwa Tanapa inakusanya ela nyingi Sana kutoka kwa watalii. Bandas zote zina matatizo, na hata mhusika mwenyewe anakwambia...
  3. Idugunde

    Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
  4. The druid

    Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  5. Maseto

    Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

    Wakuu,habari. Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama. Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
  6. K

    Ombi Kwa Waandishi wetu wa Habari waliotukuka

    Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kutuhabarisha mambo mbalimbali yanayotokea around the World. Ila jambo moja mnasahau. Kuna habari ambazo sisi wahabarishwa huwa tunapenda sana kujua zimefikia wapi au zinaendeleaje, kwa sababu unakuta tukio lenyewe ni la kuendelea. Kwa mfano: "Akamatwa na...
  7. S

    Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini

    Poleni na majukumu Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini Vitengo anavyoweza ni Waitress Housekeeping Reception Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda kufanya kazi asanteni 🙏
  8. BAK

    Kifo cha Hans Poppe: Mahakama yakubali Ombi la Mawakili wa utetezi

    Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo...
  9. demigod

    Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12

    Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania. Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa. Changamoto hiyo...
  10. Fundi Madirisha

    Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  11. Mzalendo_Mwandamizi

    Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

    Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe. Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa...
  12. C

    Ombi la kazi yoyote nimehitimu wa Diploma ya Procurement

    Umri miaka 25 muhitimu wa diploma ya procurement nimefanya kazi miaka miwil na nusu stationery, secretary, reception pia sales naweza kufanya kazi yoyote.
  13. Mwande na Mndewa

    Ombi kwa viongozi wetu wa CCM sehemu ya kwanza

    OMBI KWA VIONGOZI WETU WA CCM SEHEMU YA KWANZA. Na Frey Cosseny Niwaombe viongozi wetu wa Chama Cha Mapinduzi mnapomuongelea Hayati Mwenyekiti wetu Taifa Dr. John Pombe Joseph Magufuli muchukue tahadhari kubwa sana. Hayati Magufuli katika Marais waliyopita anayeweza kumfutia Mwalimu Julius...
  14. Ghazwat

    Mahakama kuu yatupilia mbali ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa TFF

    Mahakama Kuu Jiji Dar es salaam leo Julai 2, 2021 imetupilia mbali ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti 7, 2021 Jiji la Tanga Jaji Edwin Kakolaki alifikia uamuzi huo baada ya kukataa ombi la "matengenezo ya...
  15. K

    RFA kulikoni hawako hewani mikoa ya Nyanda za Juu Kusini karibia wiki sasa

    Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
  16. B

    Pongezi 3 na ombi 1 kwa Rais Samia

    Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu. Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa kurekebisha pale ambao uliona hapakwenda sawa. Tatu nakupongeza kwa ku-deal na watu ambao...
  17. Ferruccio Lamborghini

    Afande Bageni akwama tena; Ombi: Asinyongwe

    Jaribio la pili la aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Christopher Bageni kujinasua na adhabu ya kunyongwa, baada ya kutiwa hatiani kwa kuwaua wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi, limekwama katika Mahakama ya Rufani juzi. Mahakama hiyo ya juu kabisa nchini...
  18. Idugunde

    Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Balozi yeyote aliyeko Ughaibuni asipoleta wawekezaji atimuliwe kazi

    Habari! Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija). Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza...
  20. chiembe

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga. Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini. Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye...
Back
Top Bottom