Maombi ya dharura namba 24511 ya mwaka 2025 yaliyofunguliwa na Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanne (4) imesikilizwa leo, Alhamisi Oktoba 09.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...