Habari wanajamvi,
Mi kijana wenu leo nimekuja kivingine. Mungu amekuwa mwema kwangu, na mwaka huu nna azimio la kubadili maisha ya watu kutumia ujuzi wa teknolojia nlo nayo.
Kwa sababu zilizo nje ya mada ya leo, nimelazimika kuanza upya (nilipoteza kila kitu 2024). Ila, mwamba hang'atuki vitani...